BOIPLUS SPORTS BLOG

BAYERN Munich imeendeleza maangamizi kwenye Bundesliga baada ya kuwafumua wapinzani wao wakubwa Borussia Dortmund 5-1.

Magoli ya Bayern yaliwekwa wavuni na Thomas Muller na Robert Lewandowski ambao kila mmoja alifunga mara mbili huku bao lingine likifungwa na Mario Gotze.

Washambuliaji wa Bayern Munich Muller na Lewandowski (kulia) wote walifunga mara mbili katika ushindi wa 5-1 dhidi ya Borussia Dortmund

Post a Comment

 
Top