BOIPLUS SPORTS BLOG

CHRISTIANO Ronaldo, Lionel Messi, Luis Suarez na Neymar Jr ni kati ya majina ya wanasoka 23 wanaowania tuzo ya mwanasoka bora wa dunia maarufu kama Ballon d’Or kwa mwaka 2015.

FIFA pia wametoa orodha ya makocha wanaowania tuzo ya kocha bora wa dunia na Jose Mourinho, Luis Enrique na Arsene Wenger ni moja kati ya makocha 11 wanaowania tuzo hiyo ambapo majina ya washindi wote yatatangazwa tarehe 11 Januari 2016 mjini Zurich.

Orodha kamili ni kama ifuatavyo:
1. Sergio Aguero (Argentina/Manchester City)

2. Gareth Bale (Wales/Real Madrid)

3. Karim Benzema (France/Real Madrid

4. Cristiano Ronaldo (Portugal/Real Madrid)

5. Kevin De Bruyne (Belgium/VfL Wolfsburg/Manchester City)

6. Eden Hazard (Belgium/Chelsea)

7. Zlatan Ibrahimovic (Sweden/Paris Saint-Germain)

8. Andres Iniesta (Spain/FC Barcelona)

9. Toni Kroos (Germany/Real Madrid)

10. Robert Lewandowski (Poland/FC Bayern Munich)

11. Javier Mascherano (Argentina/FC Barcelona)

12. Lionel Messi (Argentina/FC Barcelona)

13. Thomas Muller (Germany/FC Bayern Munich)

14. Manuel Neuer (Germany/FC Bayern Munich)

15. Neymar (Brazil/FC Barcelona)

16. Paul Pogba (France/Juventus)

17. Ivan Rakitic (Croatia/FC Barcelona)

18. Arjen Robben (Netherlands/FC Bayern Munich)

19. James Rodriguez (Colombia/Real Madrid)

20. Alexis Sanchez (Chile/Arsenal)

21. Luis Suarez (Uruguay/FC Barcelona)

22. Yaya Toure (Cote d’Ivoire/Manchester City)

23. Arturo Vidal (Chile/Juventus/FC Bayern Munich)Wanaowania tuzo ya kocha bora ni:
1. Massimiliano Allegri (Italy/Juventus)

2. Carlo Ancelotti (Italy/Real Madrid)

3. Laurent Blanc (France/Paris Saint-Germain)

4. Unai Emery (Spain/Sevilla FC)

5. Pep Guardiola (Spain/FC Bayern Munich)

6. Luis Enrique Martinez (Spain/FC Barcelona)

7. Jose Mourinho (Portugal/Chelsea)

8. Jorge Sampaoli (Argentina/Chilean national team)

9. Diego Simeone (Argentina/Atletico Madrid)

10. Arsene Wenger (France/Arsenal)

Post a Comment

 
Top