BOIPLUS SPORTS BLOG

Na Karim Boimanda

Golf Hotel, AlgeriaTP Mazembe watavaana na USM Alger saa 4:30 usiku wa leo katika mchezo wa kwanza wa fainali ya ligi ya mabingwa Afrika.

BOIPLUS inawatakia kila la heri mastraika wa Tanzania wanaokipiga katika klabu hiyo, Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu. Mazembe ikibeba kombe hili basi mastraika hawa watakuwa wameweka rekondi ya kuwa watanzania wa kwanza kuvaa taji hilo.

Post a Comment

 
Top