BOIPLUS SPORTS BLOG

Na Christian Simba

MANCHESTER United imekiangushia kipigo kizito Everton ikiwa nyumbani kwao Goodison Park kwenye mchezo wa Premier League.

United ilipachika wavuni mabao mawili katika kipindi cha kwanza na moja kwenye kipindi cha pili na kuunda ushindi wa 3-0.

Mabao ya United yalifungwa naMorgan Schneiderlin dakika ya 18, Ander Herrera dakika ya 22 na Wayne Rooney aliyetupia wavuni bao la tatu kunako dakika ya 66.
MATOKEO YA MICHEZO MINGINE EPL

Crystal Palace 1 - 3 West Ham United (Selhurst Park)

Chelsea 2 - 0 Aston Villa (Stamford Bridge)


Southampton 2 - 2 Leicester City (St. Mary's Stadium)


Manchester City 5 - 1 Bournemouth (Etihad Stadium)


Tottenham Hotspur 0 - 0 Liverpool (White Hart Lane)

Post a Comment

 
Top