BOIPLUS SPORTS BLOG

Mbwana Samatta akimpongeza Thomas Ulimwengu baada ya kuipatia Stars bao la pili


'Mpira uende, mtu abaki'......mlinzi Yamkani Fadya akimvuta jezi Ulimwengu


Wachezaji wa Stars wakishangilia bao la pili lililofungwa na Ulimwengu


Kinda Farid Mussa akitafuta mbinu za kumtoka beki Stanley Sanudi


'Beki hasifiwi mwanangu', Shomari Kapombe 'akiosha' hatari langoni mbele ya kiungo wa Malawi Gerald Phiri


Mrisho Ngassa (katikati) akijaribu kumtoka mlinzi wa Malawi nahodha Limbikani Mzava

Post a Comment

 
Top