BOIPLUS SPORTS BLOG

By: Christian Simba, Mitandao.


MAISHA ya soka ya Robin Van Persie yanaweza kuhamia Nou Camp kwani Barcelona wanafikiria kumsainisha mshambuliaji huyo wa Mholanzi, 32 mwezi Januari.

Kazi ya Van Persie itakuwa ni kumsaidia Neymar, Luis Suarez na Lionel Messi, kazi aliyowahi kupewa Henrik Larsson alipotua Barca mwaka 2004 baada ya kukaa miaka saba Celtic.

Lionel Messi ana majeruhi, huku Suarez akitiliwa mashaka kucheza mechi ya JumamosiMessi ana majeruhi huku Suarez anatiliwa mashaka kukosa mechi ya Jumamosi dhidi ya Rayo Vallecano. Hilo linamuacha Neymar akiwa na makinda Sandro na Munir El Haddad

Post a Comment

 
Top