BOIPLUS SPORTS BLOG

MICHUANO ya Europa Ligi imeendelea tena jana kwa michezo mbalimbali katika hatua ya mtoano.
Miongoni mwa mechi zilizochezwa ni Liverpool dhidi ya Bordeaux ambapo Liverpool imechomoza na ushindi wa bao 2-1 mabao ambayo yamefungwa na James Milner pamoja na Christian Benteke.


Tottenham imeichapa Qarabag bao 1-0, Schalke 04 imeifunga Apoel Nicocia bao 1 – 0 , Monaco imechapwa bao 2-0 na Anderlecht.
FC Augsburg imelala bao 3-2 dhidi ya Athletic Bilbao, Ajax imeifunga Celtic bao 2-1 na FK Krasnodar imeiadhibu Borussia Dortmond bao 1-0.

Michuano hiyo itaendelea tena December 10 kwa michezo kadhaa, ikiwemo Fenerbahçe itaikabili Celtic, Tottenham watakuwa wenyeji wa Monaco, FC Sion itaikaribisha Liverpool matokeo mengine ni Kama yafuatavyo

Matokeo mengine - UEFA Europa
FT Rubin Kazan' 2 - 0 Sion
FT Krasnodar 1 - 0 Borussia Dortmund
FT Dinamo Minsk 1 - 0 Viktoria Plzeň
FT Lazio 3 - 1 Dnipro Dnipropetrovsk
FT Rosenborg 1 - 1 Saint-Étienne
FT Lokomotiv Moskva 2 - 4 Sporting CP
FT Beşiktaş 2 - 0 Skënderbeu Korçë
FT Basel 2 - 2 Fiorentina
FT Belenenses 0 - 0 Lech Poznań
FT Monaco 0 - 2 Anderlecht
FT Qarabağ 0 - 1 Tottenham Hotspur
FT Schalke 04 1 - 0 APOEL
FT Sparta Praha 1 - 0 Asteras Tripolis
FT AZ 1 - 2 Partizan
FT Augsburg 2 - 3 Athletic Club
FT Molde 0 - 2 Fenerbahçe
FT Celtic 1 - 2 Ajax
FT Liverpool 2 - 1 Bordeaux
FT PAOK 0 - 0 Qabala
FT Legia Warszawa 1 - 0 Midtjylland
FT Club Brugge 0 - 1 Napoli
FT Villarreal 1 - 0 Rapid Wien
FT Sporting Braga 2 - 1 Slovan Liberec
FT Olympique Marseille 2 - 1 Groningen

Post a Comment

 
Top