BOIPLUS SPORTS BLOG

MANCHESTER City imerejea kwenye enzi za ushindi wakati Fabian Delph akifunga katika mchezo wake wa kwanza tangu alipojiunga na City majira ya kiangazi.


Hiyo ilikuwa katika mchezo wa Ligi Kuu England ambapo City ilizoa ushindi wa 3-1 dhidi ya Southampton huku Sergio Aguero akitolewa nje dakika ya 64 baada ya kuumia kifundo cha mguu.

Mabao mengine ya City yalifungwa na Kevin De Bruyne, Aleksandar Kolarov wakati bao pekee la Southampton lilifungwa na Shane Long.


MANCHESTER CITY
(4-2-3-1): Caballero 7; Sagna, 6 Otamendi 6, Demichelis 5, Kolarov 6.5; Toure 5.5, Fernandinho 6.5; De Bruyne 7, Delph 7.5 (Fernando 70 6), Sterling 6.5 (Silva 75 6); Aguero 7 (Bony 64 6)
Subs not used: Navas, Clichy, Wright, Iheanacho
Wafungaji: De Bruyne 9, Delph 20, Kolarov 69

SOUTHAMPTON (4-2-3-1): Stekelenburg 6; Yoshida 5.5, Fonte 6 (Caulker 36 6), Van Dijk 6.5, Bertrand 6; Wanyama 6, Romeu 5.5 (Tadic 45 7), Ward-Prowse 6 (Juanmi 77 6); Mane 6.5, Long 6.5, S Davis 6
Mfungaji: Long 50

Post a Comment

 
Top