BOIPLUS SPORTS BLOG

Na Akram Msangi 'Mido'

Kocha wa Stars Boniface Mkwasa akitoa maelekezo kwa wachezaji wake Shomar Kapombe, Thomas Ulimwengu na Himid MaoWalinzi wa Stars Kevin Yondan kulia na Nadir Haroub wakijadili pamoja na Himid Mao kushoto na kipa Ally Mustafa baada ya Algeria kusawazisha bao la piliWalinzi wa Algeria wakijipanga kuzuia mipango ya washambuliaji wa StarsMbwana Samatta kulia akiwa chini ya ulinzi wa kiungo wa Algeria Zeffane MehdiWachezaji wa Stars wakimpongeza Mbwana Samatta baada kuifungia timu hiyo bao la piliHatari langoni mwa Algeria, Ulimwengu (katikati) akiwa chini ya ulinzi mkali wa mabeki wa Algeria


Post a Comment

 
Top