BOIPLUS SPORTS BLOG

CHRISTIANO Ronaldo amefanya uzinduzi wa filamu yake ya  Ronaldo.


Uzinduzi umefanyika jijini London, England na kuhudhuriwa na wageni kibao ila Alex Ferguson ndiye alionekana kuwa mgeni aliyevutia zaidi.


Ronaldo alimkaribisha Ferguson kwa mashamsham ikiwa ni pamoja na kumkumbatia.


Kocha Jose Mourinho aliyewahi kuwa bosi wa Ronaldo pale Real Madrid pia alijitokeza.


Wachezaji mbalimbali pamoja na watangazaji walijitokeza uzinduzi huo wa filamu.


Ronaldo aliongozana na mama yake mzazi, maria Dolores pamoja na mtoto wake, Ronaldo Jr.Post a Comment

 
Top