BOIPLUS SPORTS BLOG

Na Christian Simba
HATIMAYE Chelsea imeepukana na mwenendo mbovu kwenye Ligi Kuu nchini Uingereza baada ya kuilamba Norwich City 1-0.

Bao la dakika ya 64 kutoka kwa mshambuliaji Diego Costa, lilitosha kabisa kuipa Chelsea ushindi muhimu unaotarajiwa kufufua ari ya kikosi hicho cha Jose Mourinho.

Zifuatazo ni picha za matukio mbalimbali katika mchezo huo.


Post a Comment

 
Top