BOIPLUS SPORTS BLOG

Na Karim Boimanda
MICHUANO ya ligi kuu Tanzania Bara itaendelea kesho kwa mechi kadhaa lakini gumzo ni mechi ya kukata na shoka kati ya Azam Fc na Simba itakayopigwa kwenye Dimba la Taifa jijini Dar Es Salaam.

Achana na Simba iliyorejea jana kutoka visiwani Unguja ilikoenda kupanga mbinu za kuisambaratisha Azam, wanalambalamba wao waliamua kukimbilia Tanga.

Wamerejea jijini Dar Es Salaam tayari kwa vita hiyo, na hizi ni picha za mazoezi yao.Post a Comment

 
Top