BOIPLUS SPORTS BLOG

Na Christian Simba
LIGI kuu ya soka ya England inatarajia kuendelea tena wikendi hii kwa michezo kadhaaa, ambapo jumamosi
Norwich City itaikaribisha Everton, Crystal Palace watakuwa wenyeji wa Southampton, Man City watawaalika Swansea City , Sunderland watawakaribisha Watford, West Ham united itakuwa nyumbani dhidi ya Stoke city, na Bournemouth wataikabili Man United.

Na jumapili ligi hiyo itaendelea tena kwa michezo mitatu amapo Aston Villa watakuwa wenyeji dhidi ya Arsenal, Liverpool watakuwa nyumbani Anfield dhidi ya West Brom, na Tottenham watawaalika Newcastle united.


Ratiba kamili ni kama ifuatavyo;

Jumamosi Disemba 12

15:45 Norwich City v Everton - Carrow Road

18:00 Crystal Palace v Southampton - Selhurst Park

18:00 Manchester City v Swansea City - Etihad Stadium

18:00 Sunderland v Watford - Stadium of Light

18:00 West Ham United v Stoke City - Boleyn Ground

20:30 Bournemouth v Manchester United - Vitality Stadium


Jumapili Disemba 13

16:30 Aston Villa v Arsenal - Villa Park

19:00 Liverpool v West Bromwich Albion - Anfield

19:00 Tottenham Hotspur v Newcastle United - White Hart Lane


Jumatatu Disemba 14

23:00 Leicester City v Chelsea - King Power Stadium

Post a Comment

 
Top