BOIPLUS SPORTS BLOG

ENGLAND wamewekwa kwenye kundi moja na ndugu zao Wales kwenye michuano ya kusaka taifa bingwa barani Ulaya itakayoandaliwa nchini Ufaransa hapo mwakani ambapo droo yake imechezeshwa muda mfupi uliopita.

Michuano hiyo itaanza kwa mechi ya ufunguzi kati ya wenyeji Ufaransa na Romania Juni 10.
Mechi kati ya Wales na England itachezwa Juni 16 mjini Lens.

Hafla ya kufanya droo hiyo imeongozwa na katibu mkuu wa UEFA, Gianni Infantino.

Makundi hayo ni Kama yafuatavyo


Post a Comment

 
Top