BOIPLUS SPORTS BLOG

MASHETANI wekundu, Manchester United leo wameshindwa kuutumia vema uwanja wao wa nyumbani baada ya kulazimishwa sare tasa ya 0-0 ilipoikaribisha Chelsea.

United ndio walikuwa wanapewa nafasi kubwa zaidi ya kushinda kwavile walikuwa nyumba kwao lakini imekuwa tofauti na hadi mwamuzi alipopuliza kipenga cha mwisho bado matokeo yalikuwa 0-0

Haya hapa chini ni matokeo ya mechi zote za leo!


Post a Comment

 
Top