BOIPLUS SPORTS BLOG

Na Akram Msangi


John Bocco mbele ya 'msitu' wa Simba

 "Labda ukapitie kuleeeee......". Ibrahim Ajibu kushoto akiwa chini ya ulinzi wa Erasto Nyoni


 Ajibu kushoto akipongezwa na Hassan Isihaka baada ya kuipatia Simba bao la kwanzaHimid Mao kushoto akitafuta mbinu za kumzuia Ajibu ambaye alikuwa mwiba mkali


Pascal Wawa akiwa chini huku Danny Lyanga akiangalia jinsi ya kumuacha

Dimba palichimbika......Saidi Ndemla katikati akihakikisha kiungo wa Azam, Michael Balou haleti madhara yoyote.

Post a Comment

 
Top