BOIPLUS SPORTS BLOG

Na Akram Msangi 'Mido', Shinyanga


Mlinzi wa kulia wa Simba, Hassan Kessy akijaribu kuipandisha timu mbele ili kusaka ushindi, mwisho wa mchezo Mwadui 1-1 Simba


 Wachezaji wa Mwadui wakipata maji baada ya kutoka kushangilia bao lao lililofungwa na Nizar Khalfan

Manahodha wa timu hizo, Shaban Kado kushoto na Hamis Kiiza kulia wakiwa na waamuzi kabla ya kuanza kwa mpambano huo


Nizar kulia na Jerry Tegete katikati wakiwa chini ya ulinzi wa Juuko Murshid kushoto


Straika wa Simba, Danny Lyanga katikati akiawa anatafakari cha kufanya ili kuinusuru timu yake


 Kikosi cha Simba kilichoanza jana dhidi ya Mwadui Fc


Kikosi cha Mwadui Fc kilichoanza jana dhidi ya Simba

Post a Comment

 
Top