BOIPLUS SPORTS BLOG

Na Akram Msangi 'Mido'

Abdi Banda kushoto akipambana  na kiungo wa Toto Miraji Maka


Kiungo wa Simba Said Ndemla akichuana na kiungo wa Toto, Miraji


Hawaamini macho yao, Ndemla na Ibrahim Ajib wakiwa wameshika tama baada ya Toto Africa kusawazisha katika dakika za majeruhi

Wachezaji wa Simba wakishangilia bao la Danny Lyanga

Maelfu ya mashabiki wa Simba waliojitokeza kuisapoti timu yao

Wachezaji wa Toto wakiwashukuru mashabiki wao baada ya mechi kumalizika

Post a Comment

 
Top