BOIPLUS SPORTS BLOG

Na Karim Boimanda

Simon Msuva na Deus Kaseke wakimpongeza Thaban Kamusoko katikati baada ya kuipatia timu yake bao


Juma Kaseja akiokoa kwa ustadi mkubwa shuti la Amissi Tambwe kushoto


Haji Mwinyi na Kaseke wakimpongeza Tambwe katikati


Umeona mtindo mpya wa kushangilia unaoongozwa na Kamusoko?.Straika mpya wa Yanga, Paul Nonga akifurahi baada ya mashabiki wa timu hiyo kumchangia pesa ikiwa ni ishara ya kuridhishwa kwao na kiwango alichoonyesha

Msuva akijiandaa kupiga kona


Kikosi cha Yanga kilichoanza leo dhidi ya Mbeya City


Kikosi cha Mbeya City kilichoanza leo dhidi ya Yanga

Post a Comment

 
Top