BOIPLUS SPORTS BLOG

Na Akram Msangi 'Mido'

 Je, straika anayeongoza kwa mabao, Elius Maguli (kushoto) ataendeleza moto wake na kuwadhuru Yanga?


 Kocha Patrick Leiwig alishuhudia timu yake ikipokea kipigo cha mabao 2-0 toka kwa Mwadui, sasa anaiandaa timu yake kuhakikisha inarudi kwenye kasi yake ya ushindi, itawezekana kuizima Yanga uwanja wa Taifa?

 Mkongwe Amri Kiemba akijifua jana Kidongo Chekundu, Dar Es Salaam

Post a Comment

 
Top