BOIPLUS SPORTS BLOG

Straika Amissi Tambwe akionyesha makeke yake mbele ya makocha Hans Pluijm na Juma Mwambusi

Kiungo aliyekuja kwa ajili ya majaribio, Jerome Sina, nae alikuwepo katika viwanja vya Boko VeteranKiungo mpya, Mniger Issoufou Boubacar Garba akijiweka fit kuanza kuonyesha mambo yake katika mchezo dhidi ya Stand United

Makocha Pluijm na Mwambusi wakimpa 'sumu' Tambwe kwa ajili ya 'kuwaua' Stand United

Post a Comment

 
Top