BOIPLUS SPORTS BLOG

Na Karim Boimanda
MABINGWA wa Afrika, TP Mazembe ambao tayari walishaondolewa kwenye michuano ya Klabu bingwa Dunia, leo majira ya saa 4:30 asubuhi hii kwa saa za Afrika mashariki itaivaa Club America kwenye mchezo wa kutafuta mshindi wa tano na wa sita wa michuano.Mazembe ambayo italazimika kurejea nyumbani baada ya mchezo huo iliondolewa na wenyeji Hiroshima kwa kufungwa mabao 3-0 jijini Osaka.

Post a Comment

 
Top