BOIPLUS SPORTS BLOG

REAL Madrid imetangaza kumtimua kazi kocha wa timu hiyo Rafael Benitez na kumtaja Zinedine Zidane kuwa mrithi wake


Benitez 'amepigwa chini' kufuatia kikao cha bodi kilichomalizika hivi punde. Madrid ipo pointi nne nyuma ya Athletico Madrid wanaoongoza ligi baada ya jana kupata sare ya mabao 2-2 dhidi ya Valencia. 

Zidane ambaye anakiongoza kikosi cha pili cha Madrid amekuwa akihusishwa na kazi hii mara kadhaa na sasa imekuwa kweli.

Post a Comment

 
Top