BOIPLUS SPORTS BLOG

MBWANA Samatta amekamilisha usajili wake katika klabu ya KRC Genk na kwamba leo atalala usingizi mnono kutokana na furaha aliyonayo.


Samatta amekuwa kwenye wakati mgumu kujua atatua katika timu gani kutokana na vuta nikuvute iliyokuwepo baina yake na mmiliki wa TP Mazembe, Moise Katumbi.


Baada ya utambulisho mbele ya waandishi wa habari, Samatta alikabidhiwa jezi namba 77 ambayo ndiyo atakayoitumia akiwa klabuni hapo.


Post a Comment

 
Top