BOIPLUS SPORTS BLOG

Na Karim Boimanda
YANGA leo inaanza kampeni yake ya kumvua taji la michuano ya Mapinduzi mtani wake Simba Sc kwa kuvaana na Mafunzo katika uwanja wa Amaan mjini Zanzibar.

Hili hapa ndilo jeshi kamili la Wanajangwani hao wanaotisha kwa kuwa na safu bora ya ushambuliaji.
WACHEZAJI WA AKIBA
1. Ally Mustafa 'Barthez'
2. Haji Mwinyi
3. Malimi Busungu
4. Paul Nonga
5. Geofrey Mwashiuya
6. Salum Telela
7. Jerome Sina
8. Benito John
9. Said Makapu

Post a Comment

 
Top