BOIPLUS SPORTS BLOG


Hatimaye mshambuliaji wa Barcelona na timu ya taifa ya Argentina, Lionel Messi ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya mwanasoka bora wa dunia FIFA Ballon d'Or 2015.

Messi amewashinda mshambuliaji mwenza wa Barcelona pamoja na straika wa Real Madrid Cristiano Ronaldo ambao aliingia nao hatua ta tatu bora.Hii inakuwa ni tuzo ya tano kwa Messi huku shughuli hiyo ikishuhudiwa mwanadada Carli Lloyd raia wa Marekani, anayeichezea klabu ya Houston Dash akitangazwa kuwa mshindi wa FIFA Ballon d'Or kwa upande wa wanawake.

Zawadi ya bao bora la mwaka, FIFA Puskas Award, imekwenda  kwa mshambuliaji Klabu ya Vila Nova, Wendell Lira raia wa BrazilPost a Comment

 
Top