BOIPLUS SPORTS BLOG

Na Akram Msangi 'Mido', Mtwara

Kiungo wa zamani wa Simba anayeichezea Ndanda kwasasa, William Lucian 'Gallas' kushoto, akimchunga Danny Lyanga asilete madhara langoni mwao


.........Kila mtu na mtuwe, Hamis Kiiza, Lyanga na Paul Kiongera wakiwa chini ya ulinzi wa walinzi wa Ndanda
Kapteni wa Ndanda, Kiggi Makasi akimzuia Lyanga huku Emery Nimuboma akiwa tayari kutoa msaada kwa Lyanga

Kutoka kushoto: Kiiza, Said Ndemla na mfungaji wa bao Ibrahim Ajibu wakishangilia kwa mtindo wa kufunga kamba za viatu


Wachezaji wa Simba wakipongezana baada ya Ajibu kufunga bao katika dakika ya 81

Post a Comment

 
Top