BOIPLUS SPORTS BLOG

Na Akram Msangi 'Mido'

 Walinzi wa African Sports wakimdhibiti Hija Ugando asilete madhara langoni mwao


Ibrahim Ajib akitafakari mbinu za kumtoka beki wa Sports,  Juma Shemvun


 Patashika langoni mwa Sports


 Wachezaji wa Sports wakimzonga mwamuzi Jimmy Fanuel kumshurutisha atoe adhabu kwa Juuko Murshid aliyeonekana kumfanyia madhambi mwenzao


 Mwinyi Kazimoto akionyesha ufundi wake mbele ya kiungo wa pembeni wa Sports, James Medy


 Ajib na Ugando wakimpongeza Hamis Kiiza (katikati) baada ya kuifungia bao timu yao


Kamera ya BOIPLUS iliwanasa wazungu hawa wanaoonekana kuwa ni wanazi wa Simba Sc


 Wanachama wa tawi la Simba lililopo Tabata Kimanga, Simba Damu Fans (SDF), walikuwepo uwanjani kulipa 'support'  chama lao


Kikosi cha Sports kilichoanza dhidi ya Simba


Kikosi cha Simba kilichoanza dhidi ya Sports

Post a Comment

 
Top