BOIPLUS SPORTS BLOG

Na Karim Boimanda

 Hatimaye imekuwa.......Tabasamu paaaaana, Straika Mbwana Samatta ameondoka nchini usiku huu kuelekea Ubelgiji kwenda kujiunga na Klabu ya KRC Genk inayoshiriki ligi kuu nchini humo.


 Hata abiria wengine waliokuwepo Airport wakati Samatta anaondoka walitelekeza mabegi yao na kwenda kumtakia kila la heri nahodha huyo wa Taifa Stars.....

 Mwandishi wa BOIPLUS alikuwepo akiwakilisha vyombo vingine vya habari kumpa mkono wa heri Samatta

 All the Best Samagoal........

Post a Comment

 
Top