BOIPLUS SPORTS BLOG

Na Akram Msangi 'Mido'

 Hamis Kiiza na Paul Kiongera wakimpongeza Danny Lyanga katikati baada ya kuipatia Simba bao la pili


 Mohamed Hussein 'Tshabalala' akimtoka kepteni wa JKT Ruvu, Michael Aidan

 Wachezaji wa Simba na JKT Ruvu wakisalimiana kabla ya kuanza kwa mchezo huo


 Kikosi cha JKT Ruvu kilichoanza dhidi ya Simba


 Kikosi cha Simba kilichoanza dhidi ya JKT Ruvu


Wachezaji wa akiba wa Simba kutoka kushoto Said Ndemla, Abdi Banda, Joseph Kimwaga na Paul Kiongera


 Wachezaji wa Simba ambao walikuwa jukwaani wakati pambano linaendelea, kutoka kushoto Ibrahim Ajib, Hija Ugando, Awadh Juma na Mohamed Fakih


Mashabiki wa Simba tawi la Wekundu wa Terminal wakiishangilia timu yao


Kocha wa zamani wa Stars, Kim Poulsen anayehusishwa na kujiunga na Simba, alinaswa na kamera ya BOIPLUS akizungumza na kocha wa Stars, Boniface Mkwasa na kocha wa Yanga Hans Van Pluijm

Post a Comment

 
Top