BOIPLUS SPORTS BLOG

Na Akram Msangi 'Mido'

 Simba ilijizolea pointi tatu baada ya kuifunga Mtibwa bao 1-0 lililofungwa na Hamis Kiiza


Wachezaji wakizungumza na kucheka na mwamuzi mara baada ya pambano hilo
 Ramadhan Kichuya (8) akipambana na Emery Nimuboma wa Simba Hamis Kiiza 'Diego' akishangilia bao lake pekee lililoipatia Simba pointi tatu jana


 Makocha Jackson Mayanja wa Simba kushoto na Mecky Mexime wa Mtibwa wakiongea na waandishi wa Habari baada ya mechi kumalizika


Mashabiki wa Simba wakisherehekea ushindi kiaina yake

Post a Comment

 
Top