BOIPLUS SPORTS BLOG

Na Mpiga Picha Wetu, Zanzibar

 Hapiti mtu hapa.....ndivyo anavyoonekana kusema mlinzi wa Jamhuri alipokuwa akipambana na Paul Kiongera wa Simba. Timu hizo zilitoka sare ya mabao 2-2


 Wachezaji wa Simba wakimpongeza Awadh Juma baada kuipatia timu hiyo bao. Mabao yote mawili ya Simba yalifungwa na Awadh.


 Nahodha wa Simba, Mussa Mgosi akiwajibika. Mgosi alitengeneza nafasi tatu za mabao lakini washambuliaji Kiongera, Hija Ugando na Joseph Kimwaga walishindwa kuzitumia.

Paul Kiongera kushoto, akitafuta mbinu za kumtoka mlinzi wa Jamhuri

Post a Comment

 
Top