BOIPLUS SPORTS BLOG

Na Akram Msangi, Zanzibar

Jackson Mayanja katikati akitoa maelekezo kwa wachezaji wake.

 Juuko Murshid na Said NdemlaMayanja kazini...... Mohamed Hussein 'Tshabalala' akipambana kuhakikisha anaendelea kung'aa kwenye kikosi cha mwalimu mpya

 Manyika Jr nae akiwajibika chini ya kocha Mayanja

Jonas Mkude akiwaongoza nyota wengine ambao wameamua kumsahau Dylan Kerr aliyevunjiwa mkataba na kuanza maisha upya chini ya Mayanja.

Post a Comment

 
Top