BOIPLUS SPORTS BLOG

Na Akram Msangi 'Mido'

 Amissi Tambwe akikabidhiwa mpira baada ya pambano kumalizika kufuatia mabao matatu 'hattrick' aliyofunga


Tambwe akipongezwa na wachezaji wenzake baada ya kuifungia bao timu yake


 Hatari langoni mwa Majimaji 'Wanalizombe'


Mlinzi wa Majimaji, Lulanga Mapunda akitolewa nje kwa machela baada ya kupata maumivu


 Donald Ngoma na Tambwe wakiwa chini ya ulinzi wa beki wa Majimaji Kennedy Kipepe kushoto


 Thaban Kamusoko 'Rasta' akifanya kazi zake za 'ndani'


 Ngoma akipongezwa na wachezaji wenzake baada ya kuipatia Yanga bao la pili


Kipa wa Majimaji David Burhan na Bahati Yusuph (11) wakiwa wamevurugwa na mvua ya mabao


 Baadhi ya mashabiki wa Yanga kutoka tawi la Yanga Facebook Fans wakiwa jukwaani kuipa 'support' timu yao


 Kikosi cha Yanga kilichoanza leo


Kikosi cha Majimaji kilichoanza leo

Post a Comment

 
Top