BOIPLUS SPORTS BLOG

Video hii hapa chini inamuonyesha Mbwana Samatta akifanyiwa vipimo vya utimamu wa mwili 'Physical Fitness Test' kabla ya kusaini mkataba wa miaka minne na KRC Genk

video


Hapa ni baada ya kufuzu vipimo vya afya, sasa akizungumza na waandishi wa habari baada ya utambulisho.


videoVideo hizi zinapatikana pia katika ukurasa wetu wa Instagram @boiplus_blogspot na Twitter @BoiplusBlogspot

Post a Comment

 
Top