BOIPLUS SPORTS BLOG

MBEYA City leo inavaana na Prisons katika mchezo wa hatua ya 16 bora ya michuano ya kombe la Shirikisho utakaopigwa kwenye uwanja wa Sokoine. 
Hiki hapa ndicho kikosi chao wakitumia mfumo wa 3-4-3


1. Hannington Kalesyebule
2. Abubakar Shabaan(junior team)
3. Hassan Mwasapili
4. Haruna Shamte
5. Kenny Ally
6. Raphael Daud Loti
7. Ditram Nchimbi
8. Ramadhan Chombo
9. Themy Felix
10. Haruna Moshi 'Boban'
11. Joseph Mahundi

Post a Comment

 
Top