BOIPLUS SPORTS BLOG


SCHALKE 04 ya Ujerumani imetangaza kwamba beki wake wa kati Joel Matip anaenda zake Liverpool.

Schalke wametangaza   uhamisho huo lakini itabidi ufanyike mwishoni mwa msimu  huu akiwa amemaliza mkataba wake klabuni hapo.


Ikumbukwe toka kuwasili kwa Jurgen Kloop ndani  Liverpool, amekuwa akimsaka Matip mwenye miaka 24 ili  aongeze nguvu katika kikosi hicho.

Source: Skysports

Post a Comment

 
Top