BOIPLUS SPORTS BLOG

Na Akram Msangi 'Mido'

 Mshambuliaji wa Simba Hija Ugando akimpiga chenga mlinzi wa Mgambo


 Mtu na mtu.....Mohamed Samatta na Justice Majabvi, Henry Chacha na Ugando

 Fundi inuka tuendelee.......
Azizi Gilla akimuinua Mwinyi Kazimoto


 Wachezaji Simba wakimpongeza Hamis Kiiza baada ya kuifungia bao timu hiyo.


 Ibrahim Ajib akishangilia bao lake kwa kumbeba Kiiza, pembeni ni Mohamed Hussein 'Tshabalala'


 Dogo we mkali.....
Vicent Angban aliamua kutoka golini na kwenda kumpa heshima yake Ajib


 Mfungaji wa bao la nne la Simba, Danny Lyanga akiwa chini ya ulinzi wa jeshi la Mgambo

Makocha Jackson Mayanja wa Simba na Bakari Shime Mgambo


Kiraka wa Simba aliyeziba nafasi Tshabalala ambaye alikiwa majeruhi, Abdi Banda

Post a Comment

 
Top