BOIPLUS SPORTS BLOG

Na Marco Ngavenga, Mbeya

Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma akidhibitiwa na walinzi wa Prisons huku Deus Kaseke kulia akiwa tayari kutoa msaada


Mlinzi wa kushoto wa Yanga, Oscar Joshua akipiga krosi langoni mwa Prisons


Kipa wa Prison akitibiwa uwanjani baada ya kupata maumivu wakati akiokoa hatari langoni mwake


Mashabiki wa Yanga wa tawi la Facebook Family walikuwepo Mbeya kuipa 'support' timu yao

Wachezaji wa Yanga na Prisons wakisalimiana kabla ya kuanza kwa mchezo huo


Haruna Niyonzima (8) akimpongeza Amiss Tambwe baada ya kuipatia Yanga bao la kwanza


Shabiki wa Yanga maarufu kwa jina la Mama Yanga akiwa amezimia mara baada ya Prisons kupata bao la pili


Hapa Mama Yanga akiingizwa kwenye Ambulance na kukimbizwa Hospitali


Mlinzi wa Prisons, Nurdin Chona akiondosha hatari langoni mwao huku Niyonzima akiukodolea macho mpira huo

Post a Comment

 
Top