BOIPLUS SPORTS BLOG

Na Akram Msangi 'Mido', Dar

 Donald Ngoma (11) akipongezwa na wachezaji wenzake baada ya kuifungia Yanga bao 


 Kipa wa JKT Ruvu, Shaban Dihile akiokoa mchomo langoni mwake


 Hatari golini mwa JKT Ruvu


Simon Msuva akishangilia bao lake la kwanza


Kiungo Issoufou Boubacar akipongezwa na Vicent Bossou baada ya kuipatia Yanga bao Kiungo wa JKT Ruvu, Hassan Dilunga kushoto akichuana na Malimi Busungu wa Yanga


 Msuva akipiga ardhi kwa hasira baada ya kukosa bao la wazi


 Yanga wakinyoosha misuli mara baada ya kumalizika kwa pambano hilo
 Kikosi cha JKT Ruvu kilichoanza dhidi ya Yanga


Kikosi cha Yanga kilichoanza dhidi ya JKT Ruvu

Post a Comment

 
Top