BOIPLUS SPORTS BLOG

Na Akram Msangi 'Mido', Dar

Hamis Kiiza akifunga bao la pili kwa Simba


Hatari langoni mwa Singida Utd


Mshambuliaji wa Simba, Danny Lyanga akichuana na mlinzi wa Singida Utd Adolph Antony

Awadhi Juma baada ya kuifungia Simba bao


Viungo wa Simba Mussa Mgosi na Peter Mwalyanzi ambao hawapati nafasi mara kwa mara, jana walipata nafasi ya kuonyesha uwezo wao


Kiungo wa Simba Mwinyi Kazimoto kulia akimtoka mlinzi wa Singida Utd


Brian Majwega akimiliki mpira 


Manahodha Jonas Mkude na Kennedy Juma wakiwa katika picha ya pamoja na waamuzi wa mchezo huo


Kikosi cha Singida United kilichoanza dhidi ya Simba


Kikosi cha Simba kilichoanza dhidi ya Singida United

Post a Comment

 
Top