BOIPLUS SPORTS BLOG

Na Akram Msangi 'Mido', Dar

Wachezaji wa Yanga wakishangilia bao lililofungwa na Thaban Kamusoko. Yanga ilishinda mabao 2-0

Mfungaji wa bao moja la Yanga, Amissi Tambwe kushoto akidhibitiwa na mlinzi wa Cercle de Joachim


Tambwe alivaa jezi namba 19 badala ya 17 iliyozoeleka. Kushoto kwake ni beki wa kulia wa CDJ, Buckland Jimmy Hendrick


Winga chipukizi wa Yanga, Geofrey Mwashiuya akimiliki mpira kabla hajapiga krosi langoni mwa CDJ

Straika wa Yanga Paul Nonga kulia akiwa na nahodha wa CDJ

'Peace amd love'.....kocha wa Yanga Hans Van Der Pluijm akisalimia na kocha wa CDJ, Ben Kacem Abdelouahed 


Mashabiki wa Yanga wakiwa wenye nyuso za furaha baada ya timu yao kuiondosha CDJ kwa jumla ya mabao 3-0


Kikosi cha CDJ kilichoanza jana dhidi ya Yanga


Kikosi cha Yanga kilichoanza dhidi ya CDJ jana

Post a Comment

 
Top