BOIPLUS SPORTS BLOG

Na Karim Boimanda, Dar
Winga wa Yanga, Simon Msuva akimpoza Hamis Kiiza wa Simba baada ya mchezo kumalizika na Yanga kuibuka na ushindi wa mabao 2-0


Beki Juuko Murshid kulia akiokoa hatari langoni mwa Simba baada ya Kipa Vicent Angban kupotea


'Fundi' Haruna Niyonzima akitafakari mbinu za kumtoka mlinzi wa Simba, Mohamed Hussein 


Ibrahim Ajib kushoto akimtoka mlinzi wa Yanga, Mwinyi Haji


Shabiki wa Yanga ambaye jina lake halikufahamika mara moja akipatiwa huduma ya kwanza baada ya kuanguka kutoka jukwaani akishangilia bao la Donald Ngoma


Ramadhan Kessy akimpiga chenga Msuva na kuondoa hatari langoni mwake


Msuva akimiliki mpira mbele ya viungo wa Simba Jonas Mkude (20) na Said Ndemla


Amissi Tambwe katikati akiwadhihaki mashabiki wa Simba baada ya kuifungia Yanga bao la pili


Kikosi cha Yanga kilichoanza jana dhidi ya Simba


Kikosi cha Simba kilichoanza jana dhidi ya Yanga


Picha zaidi zinapatikana kwenye ukurasa wetu wa Facebook kwa jina la BOIPLUS BLOGSPOT

Post a Comment

 
Top