BOIPLUS SPORTS BLOG

MABINGWA wa soka nchini Tanzania, Yanga ya jijini Dar es Salaam jioni ya leo itashuka katika dimba la Taifa kumenyana na Cercle de Joachim ya nchini Mauritius katika mchezo wa marudiano wa klabu bingwa barani Afrika.

Katika mchezo wa awali, Yanga iliibuka na ushindi wa bao 1-0 nchini Mauritius hivyo kuwafanya leo wahitaji ushindi wowote au sare ili kusonga mbele. 

Hivi hapa ndivyo vikosi vya timu hizo vitakavyopepetana muda mfupi ujao.


Post a Comment

 
Top