BOIPLUS SPORTS BLOG

Na Mwandishi Wetu, Zanzibar


TIMU ya Jeshi la Kujenga Uchumi visiwani Zanzibar, JKU jana imeyaanga mashindano ya CAF baada ya kufungwa bao 1-0 SC Villa ya Uganda kwenye uwanja wa Amaan mjini Zanzibar.

JKU ambayo katika mchezo wa awali uliofanyika Uganda ilikubali kichapo cha mabao 4-0, leo iliingia uwanjani ikiwa na ari ya kuhakikisha hizo bao nne zinarudi na wanatengeza la ushindi lakini mambo hayakwenda kama walivyopanga.


Kwa kichapo hicho JKU inakuwa imeondolewa kwa jumla ya mabao 5-0 na hivyo Tanzania kubakiwa na timu mbili tu Yanga na Azam ambazo zinacheza leo na kesho


Post a Comment

 
Top