BOIPLUS SPORTS BLOG

Na Karim Boimanda, Dar


APR wamekuja wakiamini kama Yanga iliwadhuru nyumbani kwao basi hata wao wanaweza kuidhuru Yanga Taifa. Kwa mantiki hiyo wameamua kufanya mabadiliko katika kikosi chao huku wakiongezwa washambuliaji wawili. Bila shaka lengo lao ni kuhakikisha wanapata mabao mengi ili kuwapa wakati mgumu Yanga.

Hicho hapo juu ndicho kikosi kitakachoanza leo dhidi ya Yanga

Post a Comment

 
Top