BOIPLUS SPORTS BLOG

HIKI hapa ndicho kikosi cha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, kitakachocheza na Tanzania Prisons  jioni ya leo katika mchezo wa Kombe la FA ndani ya Uwanja wa Azam Complex.

KIKOSI CHA KWANZA
28 Aishi Manula
  4 Shomari Kapombe
26 Wazir Salum
13 Aggrey Morris
  5 Pascal Wawa
  6 Erasto Nyoni
29 Michael Bolou 
  8 Salum Abubakar
14 Ramadhan Singano
19 John Bocco (C)
11 Didier Kavumbagu


WACHEZAJI WA AKIBA
  3 Ivo Mapunda
12 David Mwantika
20 Mudathir Yahya
18 Frank Domayo
17 Farid Mussa
22 Khamis Mcha
  9 Allan Wanga

Post a Comment

 
Top