BOIPLUS SPORTS BLOG

SIMBA inawania kuongoza ligi leo, na ili kufanikiwa katika hilo ni lazima waifunge Mbeya City katika mchezo utakaopigwa masaa machache yajayo katika dimba la taifa jijini Dar es Salaam.

Kocha Jackson Mayanja anaamini hawa hapa ndio watakaomfanikishia mipango yake;
WACHEZAJI WA AKIBA
1. Manyika Jr.
2. Ramadhani Kessy
3. Mussa Hassan 'Mgosi'
4. Said Ndemla
5. Peter Mwalyanzi
6. Danny Lyanga
7. Awadh Juma


Post a Comment

 
Top