BOIPLUS SPORTS BLOG

Na Karim Boimanda, Dar
TASWIRA ya nani ana nafasi kubwa ya kuchukua Ubingwa wa bara mwaka huu itaonekana leo baada ya dakika 90 za mchezo kati ya Azam Fc na Yanga zinazopambana katika dimba la Taifa jijini Dar es Salaam.

Hiki hapa ndicho kikosi cha Yanga kinachoivaa Azam

KIKOSI CHA KWANZAWACHEZAJI WA AKIBA
1. Deogratius Munishi
2. Oscar Joshua
3. Pato Ngonyani
4. Said Juma
5. Matheo Anthony
6. Paul Nonga
7. Geofrey Mwashiuya

Post a Comment

 
Top