BOIPLUS SPORTS BLOG

Na Akram Msangi 'Mido', Dar

Mshambuliaji wa Mbeya City Joseph Mahundi akimiliki mpira mbele ya Ramadhani Kessy wa Simba


Mshambuliaji wa Simba, Ibrahim Ajibu kulia akitafakari namna ya lumtoka mlinzi wa Mbeya City, Abubakar Shaban


Mlinzi wa kushoto wa Simba Mohamed Hussein 'Tshabalala'  (15) akionyesha ufundi wake 


Vita ya Awadh Juma na Abubakar haikuwa ndogo......


Beki wa Mbeya City, Tumba Sued akijiandaa kumdhibiti Danny Lyanga
Awadh Juma akimpongeza Lyanga baada kuifungia Simba bao kwanza


Mashabiki wa Mbeya City waliojitokeza kuishangilia timu yao


Mashabiki wa Simba waliojitokeza kuishangilia timu yao

Post a Comment

 
Top